# Nini kitatokea mwishoni? Kristo atakabidhi ufalme wa mbinguni kwa Mungu Baba, pale atakapo komesha utawala zote na mamlaka na nguvu. # Kristo atatawala kwa muda gani? Ni lazima atawale ampaka atakapowaweka chini ya miguu yake maadui wake wote. # Adui wa mwisho kuharibiwa ni nani? Adui wa mwisho kuharibiwa ni kifo