# Si wa Dunia
Hapa neno "Dunia" humanisha watu wa dunia. Hii inamaanisha Mungu amewatofautisha na wale wasioamini.
# Wamelishika neno lako
Wameyatii mafundisho yako