# wameorodheshwa katika nakala za uzao wao Hii yaeza anza sentensi mpya: "Nakala zao za uzao zimewaorodhesha kama" # nakala za uzao nakala zinazoonyesha jinsi watu katika familia wanavyo husiana wao kwa wao # Yeieli ... Zekaria ... Bela ... Azazi ... Shema Haya ni majina ya wanaume # Aroeri ... Nebo ... Baali Meoni Haya ni majina ya miji