# Yosia akahamisha ... alifanya ... alichinja ... alichoma Inaweza kuwa bora kutafsiri ili msomaji aelewe kwamba watu wengine, huenda Hilkia na "makuhani chini yake" (23:4), ingewezekana Yosia kusaidiwa kufanya haya mambo. # nini kilifanyika "alifanya nini" # alichoma mifupa ya binadamu juu yao "alichoma mifupa juu yao hivyo hakuna hata mmoja wao ataitumia tena"