# Taarifa ya jumla: Daudi anajitoa kumlinda Abigaili kwa kumuoa. # Bwana abarikiwe (1) "namtukuza Bwana" au 2) "watu wote wamtukuze Bwana" # aliyenichukulia hatua ya shutuma yangu kutoka mkono wa Nabali "aliyenitetea baada ya Nabali kunidhihaki" # aliyenichukulia hatua ya shutuma yangu Hii yaweza kuwa na maana ya "amenionesha kuwa nililokuwa nalifanya lilikuwa sahihi kwa Kumuadhibu Nabali aliyenidhihaki" # na kumzuia mtumishi wake asifanye maovu Daudi anazungumza hivi kuonesha heshima kwa Bwana "alinizuia nisifanye uovu" # Na amemrudishia Nabali tendo la uovu juu ya kichwa chake mwenyewe "amemfanyia Nabdali jambo ambali Nabali alipanga kunifanyia" # juu ya kichwa chake mwenyewe "juu yake" # akawatuma wakaongee na Abigaili, ili amchukue awe mke wake "akawatuma watu waongee na Abigaili na kumwambia kuwa Daudi anataka kumchukua awe mke wake.