# Kisha alipokuja kwenye nyumba "Kisha walipokuja katika nyumba, Yesu" # isipokuwa Petro, Yohana na Yakobo, baba yake binti, na mama yake "aliwaruhusu Petro, Yohana, Yakobo, baba yake binti, na mama yake kuingia ndani" # watu wote walikuwa wanaomboleza na kutoa sauti kwa ajili yake "watu wote walikuwa wanaonyesha huzuni zao na kulia kwa sauti kwa sababu binti amekufa"