# Gomeri ... Dodanimu Tafsiri haya majina jinsi ungetafsiri majina kwenye lugha yako. Haya yote ni majina ya wanaume. # Dodanimu Hili jina uwa latafsiriwa "Rodanimu" kama kwenye UDB.