# O, ningekuwa na mbawa kama njiwa! Mshangao huu unaelezea kitu ambacho mwandishi anatamani sana. "Ninatamani sana ningekuwana mbawa kama njiwa" # Basi ningepaa "Kama ningekuwa na mbawa, ningepaa" # Tazama "Hakika" # Sela Hili linaweza kuwa neno la kimuziki linalowaongoza watu jinsi ya kuimba au kujecheza vyombo hapa. Tafsiri zingine huandika neno hili la Kiebrania, na zingine haziliweki.