# Belshaza Hili lilikuwa ni jina la mtoto wa kiume wa Nebukadneza ambaye alikuwa mfalme baada yake. # mwonekano wa uso wake ulibadilika Uso wa mfalme uliendelea kuonekana dhaifa na hafifu kuliko hata ulivyokuwa katika 5:5 # walishangazwa "kuchanganyikiwa"