# Mimi, Hekima, huishi kwa Busara Busara imeongelewa hapa kama mtu # Busara "kuamua vema" # Mimi humiliki maarifa na busara "Mimi ni mwenye maarifa na busara" au " Ninajua vitu vingi, na mimi ni mwangalifu" # busara kuwa mwangalifu kuhusu kile unachosema na kufanya; kuwa na tahadhari usisababishe maumivu au uharibifu kwa wengine # kauli za udanganyifu "maongezi mabaya" # udanganyifu iliyogeuka kutoka kwenye haki