# Wahamiaji wa jeshi hili la watu wa Israeli "Wale wa jeshi la watu wa Israeli ambao walikuwa uhamishoni" # Jeshi Kundi kubwa la watu # Zarefati Hili ni jina la mji wa Foinike huko pwani ya Mediterranean kati ya Tiro na Sidoni. # Sefaradi Hii ndiyo jina la mahali ambako eneo halijulikani. # waokoaji Hii inahusu viongozi mbalimbali wa kijeshi wa Israeli ambao Mungu atatumia kushinda taifa la Edomu