# majemedari wa maelfu Tazama 31:13 # juu ya maelfu ... juuya mamia "maaskari zaidi ya maelfu ... maskari zaidi ya mamia" # Makaptateni wa mamia Tazama 31:13 # watumishi wako wamewahesabu "watumishiwako." Hii ni njiaya kujinyenyekeza wakati wa kuongea na mtu mwenye mamlaka makubwa. # hakuna hata mmoja wao aliyekosa "tunajua kwa uhakika kuwa kila mmoja yuko hapa"