# Talitha koum Hii ni sentensi ya kiaramu, ambayo Yesu alimwambiaa binti katika lugha yake. # Alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili "alikuwa na miaka 12" # Aliwaamuru kwa nguvu kwamba hakuna yeyote anapaswa kujua kuhusu hili "Aliwaamuru kwa nguvu, hakuna yeyote anapaswa kujua hili" au "Aliwaamuru kwa nguvu, Wasimwambie yeyote kuhusu aliyoyafanya!" # Aliwaamuru kwa nguvu "Aliwaamuru kwa nguvu" # Na aliwaambia wampatie yule binti chakula Na aliwaambia, 'mpeni chochote ale"