# nitakuwa mzima Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. "itaniponywa mimi" au "nguvu yake itaniponywa mimi" # aliponywa kutoka kwenye mateso yake. Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. "ugonjwa ulimwacha" au " hakuwa tena na ugonjwa"