# mkajionyeshe kwa makuhani wenye ukoma walikuwa wanatakiwa kuthibitishwa na makuhani kwamba ukoma wao umepona. "jionyesheni wenyewe kwa makuhani ili waweze kuwachunguza" # Na ikawa kwamba maneno haya yametumika hapa kuonyesha mwanzo wa sehemu mpya ya hadithi. Kama lugha yako ina njia kwa ajili ya kufanya hii, unaweza kufikiria kutumia hapa. # wakatakasika Wakati watu waliponywa, wao hawakuwa tena najisi. Hii inaweza kufanywa wazi. "wakawa safi wakati walipo ponywa ukoma wao" au "walikuwa wametibiwa ukoma wao" # alipoona kwamba ameponywa "kuona kwamba ameponywa" au "alitambua kwamba Yesu aliyemponya" # akarudi "alirudi Yesu" # kwa sauti kubwa akimtukuza Mungu "nakumtukuza Mungu kwa sauti kubwa" # Akainama miguuni pa Yesu "akapiga magoti na kuweka uso wake karibu na miguu ya Yesu." Alifanya hivi kwa kumheshimu Yesu.