# Kauli inayounganisha Yesu aliendeleza mafundisho yake kwa kuwaeleza mfano # Kisha Yesu akawaambia Huenda Yesu alikuwa bado anaongea na mkutano wote. # ilizaa sana "imezaa mavuno mengi" # ghala jengo ambalo wakulima huhifadhi mazao na chakula wanachopanda baada ya kuvunwa # vitu "Mali" # Nitaiambia nafsi yangu "Nitajiambia mwenyewe"