# Kauli Unganisha Elizabethi anajifungua mtoto wake na Zakaria anamwita jina mtoto wao. # alirudi nyumbani kwake "Mariamu alirudi nyumbani kwake" au "Mariamu alirudi kwenye nyumba yake" # Sasa Neno hili linaonesha mwanzo wa tukio linalofuata katika historia. # Jirani zake na ndugu zake "majirani na ndugu wa Elizabethi" # alizidisha rehema yake kwaajili yake ""amekuwa mwema sana kwake" UDB