# katika siku ya tatu ya tatu hii ni namba ya kawaida kwa tatu. : "baada ya siku mbili" # lazima ichomwe moto Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. " : "mtu anayepaswa uiteketeza" # Iwapo kipande chochote cha nyama hiyo ya dhabihu kinachobaki kinaliwa katika siku ya tatu Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "iwapo mtu yeyote anakula nyama yake ya sadaka # hakitakubalika Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "Yahweh hataikubali" # wala hakitatolewa kwa aliyeitoa Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "wala Yahweh hataiheshimu dhabihu ambayo huyo mtu aliitoa" # atabeba hatia ya dhambi mwenyewe yake Mtu anayewajibika kwa dhambi aliyoitenda anazungumziwa kana kwamba anapaswa kubeba kimaumbile hiyo hatia.