# Maneno kwa Ujumla: Nikodemo anakuja kumwona Yesu. # sasa Neno hili lintumika hapa kutambulisha sehemu nyingine ya hadithi na kumtambulisha Nikodemo. # mjumbe sehemu ya kundi # Halimashauli ya Wayahudi hHalimashauli ya Kiyahudi inaitwa "Sanihedrini." Hili lilikuwa ndilo baraza muhimu kwa mabaraza yote ya Kiyahudi. # twafahamu hapa "sisi" linajumuisha, likimaanisha tu kwa Nikodemo na wanachama wengine wa halimashauli ya Kiyahudi.