# Sentensi Unganishi: Ezekieli anaendelea kuelezea maono yake. # ulifanana kama mkaa uliochomwa, au kama tochi "uling'aa kama mkaa katika moto mkali, au kama tochi" # na kulikuwa na tochi imewaka "na mwanga ulikuja kutoka kwenye moto." # Hao viumbe hai vilikuwa vikihama mbio mbele na nyuma, na walikuwa na mwonekano wa radi Tochi zilizowaka na kupotea upesi, na viumbe walienda kutoka upande mmoja kwenda mwingine upesi.