# kile ambacho macho hukiona Mtu anaweza kuona vitu kwa sababu tayari anavyo. "kile ambacho mtu anacho" # kutamani kile ambacho hamu isiyo tulia inatamani Hii inamaanisha vitu ambavyo mtu anatamani ila hana. "kutamani kile ambacho hana" # mvuke na kujaribu kuuchunga upepo Mwalimu anasema kwamba vitu ambavyo watu hufanya ni kama kujaribu kuushika upepo au kuuzuia upepo kupuliza. # Chochote ambacho kimekuwepo "Watu tayari wameshavipatia majina vitu vilivyopo" # vile mtu alivyo ni kama tayari amekwisha fahamika "watu tayari wanajua vile binadamu alivyo"