# Katika miji ya magari. Hii inataja miji ambayo iliyohifadhi magari yake. # akatengeneza fedha na dhahabu kuwa vitu vya kawaida kama mawe katika Yerusalemu. Fedha na dhahabu kuwa vitu vya kawaida kama mawe. # na mbao za mierezi kuwa kama miti ya mikuyu iliyomo katika nyanda za chini "mbao adimu na zenye thamani ziagizwazo mbali zikawa zikapatikana kw wingi sana."