# Ukweli dhabiti. "bila shaka" au " uhakika" # Tulikuwa na wewe Neno "sisi" linawaelezea Paulo, Silivanus naTimotheo lakini sio waumini wa thesalonike. # Kupata mateso. "kutendewa mabaya na wengine" # Sikuweza kuvumilia. Kwa hapa " mimi" inamuelezea Paulo: nilitaka kujua. # Nilimtuma. "Nilimtuma Timotheo" # Bure. " Isiyofaa"