# nimevunja amri ya BWANA "Sikutii aliloliamuru Bwana" # kwa sababu niliwaogopa watu "Kwa sababu niliwaogopa askari" # kuitii sauti yao "kufanya kile walichokiomba" # urudi nami Sauli na Samweli walikuwa waliongea faragha mbali na watu wengine.