# Ng'ombe wawili wanyonyeshao "Ng'ombe wawili wenye ndama ambao bado wananyonya" # Ndipo mlipeleke lipate kuondoka. Ng'ombe wawili watakwenda nyumbani kwenye ndama wao. # ikiwa watakwenda ... hadi Beth Shemeshi, basi mjue kuwa ni Bwana Sio kawaida kwa ng'ombe kuchagua kwenda Beth Shemeshi wakati ndama wamerudi kwenye nchi ya Wafilisti.