12 lines
366 B
Markdown
12 lines
366 B
Markdown
|
# Taarifa ya jumla:
|
||
|
|
||
|
Bwana anazungumza.
|
||
|
|
||
|
# nani atakayekusaidia?
|
||
|
|
||
|
"hakutakuwa na mtu wa kukusaidia wewe"
|
||
|
|
||
|
# Mfalme wako yuko wapi, ili akuokoe katika miji yako yote? Wako wapi wakuu, ambao kwao umeniambia hivi, 'Nipe mfalme na wakuu'?
|
||
|
|
||
|
Bwana anauliza swali hili ili kuwaambia Waisraeli kwamba watakapoasi juu yake hakuna mfalme wala kiongozi atakayekuja kuwasaidia.
|