sw_tn/deu/30/09.md

20 lines
732 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.
# kazi yote ya mkono wako
Hapa "mkono" ina maana ya mtu mzima. "katika kazi yako yote unayofanya"
# katika matunda ya mwili wako ... katika matunda ya mifugo yako ... katika matunda ya nchi yako
Misemo hii mitatu ni lahaja ya "kwa watoto ... kwa ndama ... kwa mazao."
# zilizoandikwa
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "ambayo nimeandika"
# kwa moyo wako wote na kwa nafsi yako yote
Hii lahaja ya "kwa moyo .... wote" ina maana ya "yote" na "yako yot ... nafsi" ina maana "na nafsi yako yote". Misemo hii miwili ina maana moja. "kwa nafsi yako yote" au "kwa nguvu zako zote"