17 lines
517 B
Markdown
17 lines
517 B
Markdown
|
# Pedaya ... Shimei ... Meshulamu ... Hanania ... Hashuba ... Oheli ... Berekia ... Hasadia ... Yushabu Hesedi ... Pelatia ... Yeshaia ... Refaya ... Arnani ... Shekania
|
||
|
|
||
|
Haya ni majina ya wanaume.
|
||
|
|
||
|
# Shelomithi
|
||
|
|
||
|
Hili ni jina la mwanamke.
|
||
|
|
||
|
# Obadia
|
||
|
|
||
|
Huyu mwanaume ana jina sawa na nabii wa Israeli Obadia lakini ni mtu tofauti.
|
||
|
|
||
|
# uzao wake zaidi walikuwa ni Arnani, Obadia, na Shekania.
|
||
|
|
||
|
Tafsiri tofauti zinawaweka hawa watu katika mahusiano tofauti wao kwa wao, kwasababu lugha ya Kiebrania haijafafanua kuwahusu.
|
||
|
|