Sura hii inajumuisha mafundisho muhimu kuhusu ufufuo wa Yesu. Watu wa Kigiriki hawakuamini kwamba mtu anaweza kuishi baada ya kufa. Paulo anatetea ufufuo wa Yesu. Anafundisha kwa nini ni muhimu kwa waumini wote. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/resurrection]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/believe]])
Paulo anaonyesha ufufuo kama ushahidi wa mwisho kwamba Yesu ni Mungu. Kristo ni wa kwanza kati ya wengi ambao Mungu atawafufua. Ufufuo ni muhimu kwa Injili. Mafundisho machache tu ni ya muhimu kama haya.(See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/goodnews]] and [[rc://*/tw/dict/bible/other/raise]])