20 lines
691 B
Markdown
20 lines
691 B
Markdown
|
# Maelezo ya jumla
|
||
|
|
||
|
Danieli anaendelea kuongea na mfalme.
|
||
|
|
||
|
# jiwe lilikuwa limechongwa, ingawa si kwa mikono ya wanadamu, na lili...
|
||
|
|
||
|
Maneno haya yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji kama yatagawanywa katika sehemu mbili. "mtu fulani alilikata jiwe kutoka mlimani, lakini si mtu aliyelikata jiwe. Jiwe..."
|
||
|
|
||
|
# kama makapi yaliyo katika sakafu za kupuria kipindi cha kiangazi
|
||
|
|
||
|
kirai hiki kinalinganisha vipande vya sanamu na vitu vidogo vilivyo vyepesi na ambavyo vinaweza kupeperushwa mbali na upepo. "kama vipande vikavu vya nyasi vinavyopeperushwa na upepo"
|
||
|
|
||
|
# hakuna alama inayoachwa
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuelezwa kwa muundo chanya. "viliondolewa kabisa"
|
||
|
|
||
|
# kuijaza dunia yote
|
||
|
|
||
|
"kuenea dunia yote"
|