sw_tn/mat/24/intro.md

28 lines
1.3 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Mathayo 24 Maelezo ya Jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Muundo na upangiliaji
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Katika sura hii, Yesu anaanza kutabiri kuhusu wakati ujao kutoka wakati huo hadi atakaporudi kama mfalme wa ulimwengu. (Angalia: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/prophet]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana maalum katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### "Mwisho wa ulimwengu"
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Katika sura hii, Yesu anatoa jibu kwa wanafunzi wake wakati wanauliza jinsi watakavyojua wakati atakapokuja tena. (See: [[rc://*/ta/man/translate/writing-apocalypticwriting]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Mfano wa Nuhu
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Katika wakati wa Nuhu, Mungu alituma gharika kuu kuwaadhibu watu kwa dhambi zao. Aliwaonya mara nyingi kuhusu kuja kwa mafuriko hayo, lakini kwa hakika yalianza ghafla. Katika sura hii, Yesu analinganisha mafuriko hayo na siku za mwisho. (Angalia: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/sin]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### "Ruhusu"
2021-09-10 19:12:24 +00:00
ULB hutumia neno hili kuanzisha amri kadhaa za Yesu, kama "wacha wale walio Yudea wakimbilie milimani" (24:16), "yule aliye juu ya nyumba asije akashuka kuchukua chochote kutoka kwa nyumba yake "(24:17), na" aliye mashambani asirudi kuchukua nguo yake "(24:18). Kuna njia nyingi za kuunda amri. Watafsiri wanapaswa kuchagua njia za asili zaidi katika lugha zao wenyewe.
## Links:
* __[Matthew 24:01 Notes](./01.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__[<<](../23/intro.md) | [>>](../25/intro.md)__