sw_tn/jer/49/01.md

20 lines
445 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Tazama uandisi wa shairi.
# Je Israeli hana watoto? Hakuna mrithi katika Israeli?Kwa nini Meloki ameitawala D=Gadi na watu wake waishio kwenye miji yake?
"Kuna Waisraeli wengi wa kurithi nchi ya Israeli. Watu waabuduo miungu ya uongo, Moleki hatakiwi kuishi Gadi."
# Hivyo tazama
Hii inaongeza msisitizo wa jambo linalofuata. "Tazama na sikiliza"
# Siku zinakuja
"Siku za baadae"
# Anayosema Bwana
"Alilosema Bwana"