sw_tn/1sa/15/01.md

12 lines
333 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maneno ya Bwana
"ujumbe wa Bwana"
# ukaangamize kabisa vitu vyote walivyo navyo ... ua wote mwanamme na mwanamke, mtoto na mtoto mchanga, ng'ombe na kondoo, ngamia na punda
Sentensi hizi zina maana moja. Sentensi ya pili inaelezea kwa undani vitu ambavyo vinapaswa kuharibiwa.
# Usiwaache
Hii inasisitiza kuharibu kila kitu.