sw_tn/1ki/07/34.md

12 lines
356 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kulikuwa na mataruma manne katika pande zake nne za makaliio
"Kulikuwa na mataruma katika kila upande wa kalio"
# kina cha sentimita ishirini na tatu
sentimita ishirini na tatu ni sawa na "nusu ya dhiraa moja"
# na juu ya makalio mashikio yake na papi zakae zikawa zimeshikanishwa
"Huramu alishikamanisha mashikio yake na papi na juu ya kila kalio"