sw_gen_text_reg/49/22.txt

1 line
159 B
Plaintext

\v 22 Yusufu ni tawi lizaalo, tawi lizaalo karibu na kijito, ambaye matawi yake yako juu wa ukuta. \v 23 Mpiga mishale atamshambulia na kumrushia na kumsumbua.