sw_gen_text_reg/49/19.txt

1 line
243 B
Plaintext

\v 19 Gadi - wapanda farasi watamshambulia, lakini yeye atawapiga katika visigino vyao. \v 20 Vyakula vya Asheri vitakuwa vingi, naye ataandaa vyakula vya kifalme. \v 21 Naftali ni dubu jike asiyefungwa; atakuwa na watoto wa dubu walio wazuri.