sw_gen_text_reg/49/16.txt

1 line
242 B
Plaintext

\v 16 Dani atawaamua watu wake kama mojawapo ya makabila ya Israeli. \v 17 Dani atakuwa nyoka kando ya njia, nyoka mwenye sumu aumaye visigino vya farasi katika njia, hivyo aongozaye farasi huanguka nyuma. \v 18 Ninaungoja wokovu wako, Yahwe.