sw_gen_text_reg/48/21.txt

1 line
274 B
Plaintext

\v 21 Israeli akamwambia Yusufu, "Tazama, ninakaribia kufa, lakini Mungu atakuwa nanyi, na atawarudisha katika nchi ya baba zenu. \v 22 Kwako wewe, kwa kuwa uko juu ya ndugu zako, ninakupa mtelemko wa mlima niliouchukuwa kutoka kwa Waamori kwa upanga wangu na upinde wangu."