sw_gen_text_reg/48/11.txt

1 line
414 B
Plaintext

\v 11 Israeli akamwambia Yusufu, "Sikutazamia kuuona uso wako tena, Lakini Mungu ameniruhusu kuwaona hata wanao." \v 12 Yusufu akawaondoa kati ya magoti ya Israeli, na kisha akainama na uso wake juu ya nchi. \v 13 Yusufu akawachukua wote wawili, Efrahimu katika mkono wake wa kulia kuelekea mkono wa kushoto wa Israeli, na Manase katika mkono wake wa kulia kuelekea mkono wa kulia wa Israeli, na akawasogeza kwake.