sw_gen_text_reg/48/08.txt

1 line
354 B
Plaintext

\v 8 Israeli alipowaona wana wa Yusufu, akasema, "Ni nani hawa?" \v 9 Yusufu akamwambia baba yake, "Hawa ni wanangu, Mungu alionipa hapa:" Israeli akasema, "Walete kwangu, kwamba niwabariki." \v 10 Basi macho ya Israeli yalikuwa yanashindwa kwa ajili ya umri wake, hivyo hakuweza kuona. Hivyo Yusufu akawasogeza karibu yake, na akawabusu na kuwakumbatia.