sw_gen_text_reg/47/25.txt

1 line
278 B
Plaintext

\v 25 Wakasema, "Umeokoa maisha yetu. Na tupate kibali machoni pako. Tutakuwa watumishi wa Farao." \v 26 Hivyo Yusufu akaifanya kuwa sheria inayofanya kazi hata leo katika nchi ya Misri, kwamba moja ya tano ni ya Farao. Eneo la makuhani peke yake ndo halikufanywa kuwa la Farao.