sw_gen_text_reg/47/05.txt

1 line
269 B
Plaintext

\v 5 Kisha Farao akamwambia Yusufu, kusema, "Baba yako na ndugu zako wamekuja kwako. \v 6 Nchi ya Misri iko mbele yako. Mkalishe baba yako na ndugu zako katika eneo zuri, nchi ya Gosheni. Ikiwa unafahamu watu wenye uwezo miongoni mwao, uwaweke kuwatunza wanyama wangu."