sw_gen_text_reg/46/33.txt

1 line
274 B
Plaintext

\v 33 Itakuwa, Farao atakapowaita na kuwauliza, 'Kazi yenu ni ipi?' \v 34 mwambieni, 'Watumishi wako wamekuwa watunza wanyama tangu ujana wetu mpaka sasa, sisi, na baba zetu.' Fanyeni hivyo ili mweze kuishi katika nchi ya Gosheni, kwani kila mfugaji ni chukizo kwa Wamisri."