sw_gen_text_reg/46/31.txt

1 line
311 B
Plaintext

\v 31 Yusufu akawambia ndungu zake na nyumba ya baba yake, "Nitakwenda na kumwambia Farao, kusema, 'Ndugu zangu na nyumba ya baba yangu, waliokuwa katika nchi ya Kanaani, wamenijia. \v 32 Watu hawa ni wafugaji, kwani wamekuwa watunza wanyama. Wamekuja na makundi yao ya kondoo, na mbuzi, na vyote walivyonavyo.'