sw_gen_text_reg/46/19.txt

1 line
356 B
Plaintext

\v 19 Wana wa Raheli mkewe Yakobo walikuwa Yusufu na Benjamini. \v 20 Huko Misri Manase na Efraimu walizaliwa kwa Yusufu na Asenathi, binti Potifera kuhani wa Oni. \v 21 Wana wa Benjamini walikuwa Bela, Bekeri, Ashbeli, Gera, Naamani, Ehi, Roshi, Mupimu, Hupimu, na Ardi. \v 22 Hawa walikuwa wana wa Raheli waliozaliwa kwa Yakobo - jumla yao kumi na wanne.