sw_gen_text_reg/46/12.txt

1 line
421 B
Plaintext

\v 12 Wana wa Yuda: Eri, Shela, Peresi, na Zera, (Lakini Eri na Onani walikufa katika nchi ya Kanaani). Na wana wa Peresi walikuwa Hezroni na Hamuli. \v 13 Wana wa Isakari walikuwa Tola, Puva, Lobu, na Shimroni; \v 14 Wana wa Zabuloni walikuwa Seredi, Eloni, na Yahleeli \v 15 Hawa walikuwa wana wa Lea aliomzalia Yakobo huko Padani Aramu, pamoja na na Dina binti yake. Wanawe na binti zake walikuwa thelathini na watatu.