sw_gen_text_reg/46/08.txt

1 line
317 B
Plaintext

\v 8 Haya ni majina ya watoto wa Israeli waliokuja Misri, Yakobo na wanawe: Rubeni, mzaliwa wa kwanza wa Yakobo; \v 9 wana wa Rubeni Hanoki na Palu na Hezroni na Karmi; \v 10 wana wa Simoni, Yemueli, Yamini, Ohadi, Yakini, Zohari, na Shauli, wana wa mwanamke Mkanaani; \v 11 wana wa Lawi Gershoni, Kohathi, na Merari.