sw_gen_text_reg/45/27.txt

1 line
253 B
Plaintext

\v 27 Wakamwambia maneno yote ya Yusufu aliyokuwa amewambia. Yakobo alipoona mikokoteni Yusufu aliyokuwa amepeleka kuwabeba, roho ya Yakobo baba yao ikafufuka. \v 28 Israeli akasema, "Inatosha. Yusufu mwanangu yu hai. Nitakwenda nikamwone kabla sijafa."