sw_gen_text_reg/45/19.txt

1 line
225 B
Plaintext

\v 19 Basi mmeamriwa, 'Fanyeni hivi, chukueni mikokoteni kutoka Misri kwa ajili ya watoto wenu na kwa ajili ya wake zenu. Mchukueni baba yenu na kuja. \v 20 Msijari kuhusu mali zenu, kwani mema yote ya nchi ya Misri ni yenu."