sw_gen_text_reg/45/16.txt

1 line
370 B
Plaintext

\v 16 Habari ya jambo hili ikasemwa katika nyumba ya Farao: "Ndugu zake Yusufu wamekuja." Ikampendeza sana Farao na watumishi wake. \v 17 Farao akamwambia Yusufu, "Wambie ndugu zako, 'Fanyeni hivi: Wapakieni wanyama wenu na mwende katika nchi ya Kanaani. \v 18 Mchukueni baba yenu na nyumba zenu mnijie. Nami nitawapa mema ya nchi ya Misri, nanyi mtakula unono wa nchi.'